Kumchagua kiongozi wa chama cha ODM Oburu Odinga kama mgombea mwenza wa Rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027 kunaweza kumgharimu baadhi ya uungwaji mkono wake uliobaki. Mchambuzi wa siasa Herman Manyora anaelezea ni kwa nini.

HERMAN MANYORA – OBURU