Akina mama wanaonyonyesha wanahimizwa kunyonyesha mara tu watoto wao wanapoonyesha dalili za njaa badala ya kusubiri walie. Mtaalamu wa kunyonyesha Grace Echoka anasema kutotambua dalili za njaa, manukato makali na mazingira yasiyo mazuri kunaweza kuwafanya watoto wachanga kukataa kunyonya. Ushauri huo unakuja huku ulimwengu ukiadhimisha Wiki ya Uhamasishaji wa Kunyonyesha Duniani.
GRACE ECHOKA – HUNGER
Read Also