Wazee wa vijiji wameipongeza serikali ya Rais William Ruto kwa kutambua huduma yao kupitia marupurupu ya kila mwezi, wakisema itasaidia sana katika kuboresha maisha yao na kuwawezesha kuendelea kuhudumia jamii zao. Pia wameitaka serikali kuwaandikisha katika mpango wa SHA wa na kuwapa vipatakilishi ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma.
VOX POP-RECOGNIZE