Washukiwa wawili zaidi katika mauaji ya mtafiti wa afya ya akili Dkt. Victoria Mutiso watajua hatima yao hii leo. Wapelelezi wa DCI wanatafuta kuwazuilia Angela Mulwa na Nelson Masiga kwa siku 21 ili kukamilisha uchunguzi. Wawili hao walikamatwa Jumapili, siku mbili baada ya washukiwa wengine Rose Mbithe na mwanawe, Chris Mulwa, kukamatwa kuhusiana na mauaji hayo. Mbithe na Mulwa watazuiliwa kwa siku 21 zaidi.

GEOFFREY ONSARIGO – RULING