Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi ameutaka upinzani kumtangaza mgombea wao wa urais, akielezea imani kwamba Rais William Ruto atapata muhula wa pili katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kulingana na Waziri Wandayi, utawala wa Kenya Kwanza uko tayari kwa kinyang'anyiro hicho, akisisitiza kwamba rekodi ya maendeleo ya Rais itampa ushindi mkubwa katika uchaguzi.

OPIYO WANDAYI – OPPOSITION