Wizara ya Afya inasema ushirikiano mpya na Beginnings Fund utaboresha upatikanaji wa huduma bora ya uzazi na watoto wachanga kote Kenya. Waziri wa Afya Aden Duale anasema mpango huo utapanua nguvu kazi ya afya, kuboresha rufaa za dharura, kuimarisha mifumo ya afya ya kidijitali na kuongeza upatikanaji wa dawa za kuokoa maisha. Mpango huo wa miaka mitano unaunga mkono ajenda ya serikali ya UHC.
ADEN DUALE – FUNDING