Serikali imeanzisha hatua kadhaa zinazolenga kuunda mazingira ya kazi yenye usaidizi zaidi kwa maafisa wa utawala wa ngazi ya chini. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen alisema mageuzi hayo yanajumuisha kuongezeka kwa ufadhili wa uendeshaji kwa machifu na manaibu machifu. Pia alitangaza kwamba wazee wa vijiji watapitia mafunzo ya ujuzi wa kidijitali ili kuboresha utoaji wa huduma katika ngazi ya chini.
KIPCHUMBA MURKOMEN-SUPPORT