Rais William Ruto anawasihi Wakenya kuwapuuza viongozi ambao hawana rekodi ya maendeleo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza wakati wa kuwakaribisha waumini wa Kanisa la Friends katika Ikulu, Ruto alibaini kuwa wapiga kura wanapaswa kuchagua viongozi kulingana na rekodi yao ya maendeleo, maono wazi ya sera, na utoaji wa huduma unaoweza kuthibitishwa badala ya maneno matupu.

WILLIAM RUTO – KILA