Msajili wa Vyama vya Siasa anatarajiwa kutoa uamuzi wa mwisho kuhusu kama Harakati ya Linda Mwananchi itapata idhini ya kufanya kazi kama chama cha kisiasa kabla ya wiki kuisha. Hii inafuatia mkutano kati ya wakuu wa harakati hiyo na msajili kuhusu uhifadhi na usajili wa jina hilo. Huyu hapa msemaji wa Linda Mwananchi Caroli Omondi akizungumza baada ya mkutano huo.
CAROLI OMONDI – PARTY