Kenya imeboresha huduma za uchunguzi wa saratani ya mapafu katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Daktari wa magonjwa ya mapafu na saratani Andrew Owuor anasema nchi sasa ina hospitali saba za umma zinazotoa bronchoscopy, huku kila kaunti ikiwa na CT scan. Anaongeza kuwa utambuzi wa mapema kupitia ueledi mkubwa wa umma unabaki kuwa muhimu kwa kuwa saratani ya mapafu haiwezi kuchunguzwa.


ANDREW OWUOR – DIAGNOSIS