Sehemu nyingi za nchi zinatarajiwa kupata hali ya hewa ya ukavu kwa ujumla kuanzia leo hadi Jumatatu ijayo, kulingana na Idara ya Hali ya Hewa nchini. Hata hivyo, mvua inatabiriwa katika sehemu za Magharibi mwa Kenya na Bonde la Ufa, ikiwa ni pamoja na kaunti za Bungoma, Kakamega, Nakuru, Uasin Gishu na Kericho. Hali ya baridi na mawingu ya mara kwa mara pia inatarajiwa katika sehemu za Kati, Mashariki na Nairobi, huku halijoto ya mchana ikitarajiwa kuzidi nyuzi 30°C katika kaunti kadhaa za kaskazini na pwani.
Advertisement
August 4, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing