Muungano wa Azimio umetangaza upangaji upya mkubwa wa uongozi na uanachama wake huku ukiimarisha maandalizi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Muungano huo unasema utabadilisha miundo yake na umemkubali Waziri wa zamani wa usalama Fred Matiang'i, Gavana wa zamani wa Meru Peter Munya na Seneta Lenny Kivuti katika baraza lake linaloongoza. Azimio pia iliwaalika DAP-Kenya, Chama cha Umoja na Maendeleo na Chama cha Democratic kujiunga na muungano huo.

CAROLI OMONDI – CHANGES