Huku nchi ikiendelea kuadhimisha Wiki ya Kunyonyesha Duniani, wataalamu wa afya wanatetea unyonyeshaji pekee kwa watoto wachanga wakati wa miezi sita ya kwanza ya maisha na kuendelea kunyonyesha hadi miaka miwili. Wakizungumza katika Kaunti ya Murang'a, wataalamu hao pia walisisitiza hitaji la kutumia wahamasishaji wa afya ya jamii kuhimiza na kuunga mkono unyonyeshaji kwa watoto wachanga na kuongeza huduma ya uzazi.

VOX POP-BREASTFEED