Unahimizwa kuweka kipaumbele usaidizi wa afya ya akili huku visa vinavyoongezeka vya unajisi vikiripotiwa kote nchini. Mwanasaikolojia Victor Karani anasema manusura mara nyingi hupata msongo wa mawazo ambao unaweza kuathiri maisha yao ya kila siku ikiwa hawatatibiwa. Anaamini kwamba baadhi ya wahalifu wanaweza kuwa na hali za kisaikolojia ambazo hazijatibiwa zinazochangia tabia zao.

VICTOR KARANI – MENTAL HEALTH