Umehimizwa kutafuta uchunguzi wa mapema wa saratani ya mapafu, huku wataalamu wa afya wakionya kwamba ugonjwa huo hauathiri wavutaji sigara pekee. Wakizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Saratani ya Mapafu Duniani mwishoni mwa wiki, wataalamu hao walisema uchafuzi wa mazingira na mtindo wa maisha pia ni vichangiaji vikubwa vya ugonjwa huo. 

VOX POP-LUNG