Serikali inapanga kuongeza uzalishaji wa bixa mara mbili kwa kupanua idadi ya wakulima na kutumia kikamilifu uwezo wa usindikaji wa kila mwaka wa tani 3,000 nchini. Akizungumza katika Kaunti ya Kwale, Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe alisema wizara hiyo inashirikiana na serikali za kaunti za pwani kusambaza miche iliyoidhinishwa, kutoa huduma za nyanjani, na kuimarisha vyama vya ushirika.

MUTAHI KAGWE-BIXA