Rais William Ruto ametetea mpango wa kiuchumi wa serikali baada ya mwaka 2030 kabla ya uzinduzi wake wiki ijayo, akisema Wakenya lazima wakumbatie mipango ya muda mrefu na kushiriki kikamilifu katika kuunda mustakabali wa nchi. Akizungumza jana, Ruto alisema maendeleo endelevu yanategemea mipango yenye maono, akibaini kuwa miradi mingi inayotekelezwa kwa sasa ilibuniwa chini ya ruwaza ya 2030 kabla ya Katiba ya 2010 kutangazwa. .
WILLIAM RUTO-PLAN