Naibu Gavana wa Machakos Francis Mwangangi amemtaka Rais kufafanua ahadi ambayo haijatimizwa ya kuhamisha usimamizi wa Hifadhi ya Kitaifa ya Amboseli kwa wakaazi wa Kaunti ya Kajiado. Mwangangi ameibua wasiwasi kwamba karibu mwaka mmoja baada ya ahadi hiyo kutolewa, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa, akiita kucheleweshwa huko kuwa jambo la kushangaza na kuihimiza serikali kushughulikia suala hilo.

FRANCIS MWANGANGI – AMBOSELI