Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen ametetea maono ya kiuchumi ya serikali baada ya mwaka 2030, akisema yatatoa mwongozo wa mustakabali wa kiuchumi wa muda mrefu wa Kenya huku nchi hiyo ikilenga kuwa moja ya uchumi unaoongoza duniani. Murkomen aliwasihi Wakenya kupuuza wanasiasa wanaokosoa mpango huo, akisema maono hayo yanalenga kuongoza maendeleo ya kitaifa baada ya mwaka 2030 na kuhakikisha ukuaji endelevu wa uchumi.
KIPCHUMBA MURKOMEN –ECONOMIC