Naibu Rais Kithure Kindiki ametoa wito kwa Wakenya kujiepusha na kuingiza siasa katika mpango wa kiuchumi wa baada ya 2030 unaotarajiwa kuzinduliwa wiki ijayo. Kindiki alisema Wakenya wote, bila kujali hali yao ya kisiasa, kijamii, au kiuchumi, wana haki ya kusaidia kuunda mustakabali wa nchi. Aliwasihi raia kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa ili kusaidia kufafanua mwelekeo wa kiuchumi wa Kenya zaidi ya Ruwaza ya 2030.

KITHURE KINDIKI –ECONOMIC