Naibu rais Kithure Kindiki amemkosoa kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kama mtu asiyefanya kazi licha ya kushikilia nyadhifa zenye nguvu katika serikali zilizopita. Akiongea jana huko Tharaka Nithi, Kinsiki alisema nafasi yake haiwezi kubadilishwa kutokana na rekodi yake ya maendeleo katika utawala wa sasa. Aliwasihi zaidi wenyeji kuendelea kuunga mkono utawala wa Kenya kwanza na kumchagua tena rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027.

KITHURE KINDIKI-KALONZO