Wabunge wameitaka NCIC kuchukua hatua kali dhidi ya viongozi wanaoshutumiwa kutoa matamshi ya kikabila yenye mgawanyiko kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Wabunge walitilia shaka ukimya wa tume hiyo, wakionya kwamba kushindwa kudhibiti matamshi ya uchochezi kunaweza kudhoofisha mshikamano wa kitaifa na kuitumbukiza nchi katika machafuko.

VOX POP - MPs