Biashara haramu ya binadamu inaendelea kushamiri kutokana na ufisadi na udhibiti dhaifu wa mipaka. Afisa wa Majibu ya Haraka wa shirika la Muhuri Francis Auma anasema Wakenya wasio na ajira wanazidi kuhadaiwa kwa ahadi za uongo za ajira nje ya nchi, na kuwafanya kuwa walengwa rahisi kwa wafanyabiashara haramu. Takriban watu milioni 27.6 duniani kote ni waathiriwa wa biashara haramu ya binadamu.
FRANCIS AUMA - JOBLESSNESS