Wito umetolewa kwa uteuzi wa Baraza la Mawaziri kutegemea sifa badala ya kuzingatia mambo ya kikabila au kisiasa. Mchambuzi wa siasa na mtaalamu wa utawala Javas Bigambo anasema wanasiasa walioteuliwa katika Baraza la Mawaziri wanapaswa kuwatumikia Wakenya wote na kuzingatia kutoa matokeo badala ya kuendeleza maslahi ya kisiasa na kikabila.
JAVAS BIGAMBO – CABINET