Maswali yameibuka kuhusu jinsi ushiriki wa umma kwa ajili ya ruwaza iliyopangwa ya mwaka 2060 utakavyofanyika kabla ya uzinduzi wake unaotarajiwa mwezi ujao. Mchambuzi wa siasa Javas Bigambo anasema serikali lazima ihakikishe mchakato huo unajumuisha wote, ni mpana, na unazingatia maoni ya Wakenya, kwani mpango huo wa muda mrefu utaunda vizazi vijavyo.


 


JAVAS BIGAMBO - GOVERNMENT