chunguzi kuhusu kifo cha Rex Masai umechukua sura mpya baada ya Mahakama ya Milimani kupanua wigo wa kesi hiyo kwa kuruhusu mashahidi wanane wa ziada kutoa ushahidi. Hakimu Mkuu Geoffrey Onsarigo alikataa ombi la Huduma ya Kitaifa ya Polisi la kumrudisha Kamanda wa zamani wa Polisi wa Nairobi Doris Mugambi kwa mara ya tatu. Kesi hiyo itatajwa Alhamisi wiki ijayo.