Muungano wa Maafisa wa Kliniki nchini umeshutumu Baraza la Magavana (COG) kwa kushindwa kushughulikia masuala yaliyosababisha mgomo wa kitaifa, ambao sasa uko katika siku yake ya 12. Mwenyekiti Peterson Wachira anasema kusuluhisha mzozo huo, ikiwa ni pamoja na kutolewa kwa barua za kudumu na za kuteuliwa kwa wafanyakazi wa UHC, kunahitaji ushiriki wa pamoja wa baraza la magavana, Bunge, na Wizara ya Afya.

PETERSON WACHIRA – DISPUTE