Rushwa na uchunguzi duni vimetajwa kama vikwazo vikubwa vya haki kwa walionusurika unajisi. Wakili wa watoto Naomi Kajaira anasema maafisa wa uangalizi wafisadi na kutegemea kupita kiasi ripoti za madaktari kumesababisha baadhi ya wahalifu kutoroka hukumu.
NAOMI KAJAIRA – CORRUPTION