Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua amewaonya wagombea na wafuasi wa DCP dhidi ya kushiriki katika vurugu wakati wa mikutano ya kisiasa. Badala yake Gachagua amewasihi kukumbatia ushindani wa amani kabla ya uteuzi wa chama kwa Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza wakati wa mkutano na viongozi wa Nyandarua, Gachagua alisema mashindano ya kisiasa yanapaswa kufanywa kidemokrasia na bila makabiliano, akionya kwamba vurugu zitadhoofisha umoja wa chama.

RIGATHI GACHAGUA - KELELE