Bodi ya NG-CDF inatarajiwa kukutana na Wabunge wakati wa kikao cha Spika hii leo. Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula anasema bodi hiyo itawaarifu wabunge kuhusu hali ya utoaji wa fedha na utekelezaji wa miradi ya maeneo bunge kwa mwaka wa fedha wa 2025/26.

MOSES WETANG'ULA - KAMUKUNJI