Baraza la Magavana litakutana Agosti tarehe 6 kujadili, miongoni mwa mambo mengine, hatua za kuanzisha uchunguzi wa saratani bila malipo katika kaunti zote 47. Mwenyekiti wa Kamati ya Afya ya baraza hilo Abdulswamad Nassir anasema mpango huo unalenga kusambaza huduma za saratani na kupunguza utambuzi wa saratani katika hatua za mwisho ambazo huzuia matibabu bora. Mkutano huo pia utashughulikia changamoto zinazozunguka ununuzi wa dawa kupitia KEMSA.
ABDULSWAMAD NASSIR - SCREENING