Baadhi ya viongozi wa mashinani katika Kaunti ya Kakamega wamemsihi Gavana Fernandes Barasa kuachana na ODM na kujiunga na vuguvugu la Linda Mwananchi. Viongozi hao walidai kwamba ikiwa Barasa ana nia ya kupata muhula wa pili, anapaswa kurekebisha mkakati wake wa kisiasa na kuimarisha mustakabali wake katika vuguvugu linaloongozwa na Edwin Sifuna.
VOX POP-JOIN