Mabingwa wa kombe la FKF, Tusker FC, watapambana na Rayon Sports ya Rwanda katika mechi yao ya pili katika mashindano ya Cecafa yanayoendelea katika Uwanja wa Pelé jijini Kigali. Watengenezaji wa bia watakuwa wakitafuta ushindi wao wa kwanza, baada ya kufungwa 2-0 na Al Hilal ya Sudan katika mechi ya ufunguzi Jumapili. Tusker lazima ishinde mechi hiyo dhidi ya wenyeji ambao wanaongoza kundi C pamoja na Al Hilal, ili kudumisha nafasi zao za nusu fainali, huku timu ya juu pekee ikiwa imehakikishiwa nafasi.

Vipindi vya ang akvu vinashuhudiwa Nanyuki, Meru na Isiolo.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.