Pombe bandia sasa zinachangia takriban asilimia 60 ya pombe zinazouzwa kwenye soko, na kuzua wasiwasi kuhusu usalama wa umma. Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Baa Simon Njoroge analaumu ongezeko hilo kutokana na kushindwa kwa mamlaka kuwakamata wahusika wa biashara hiyo, akisema kanuni na mikutano ya bodi haijasaidia sana kupunguza tatizo hilo, na anahimiza serikali kuwashirikisha wadau katika msako huo.
SIMON NJOROGE - ALCOHOL