Ushindani miongoni mwa viongozi wa ODM kwa nafasi ya unaibu wa rais mwaka 2027 umehusishwa na pengo la uongozi katika chama hicho. Mchambuzi wa siasa Martin Andati anasema katiba ya ODM inamtambua wazi kiongozi wa chama kama mgombea wa urais, akiongeza kuwa hakuna mtu anayefanya kampeni mahususi kwa nafasi ya mgombea mwenza.
MARTIN ANDATI – LEADERSHIP