Viongozi wa Jukwaa la Vijana la Mt Kenya, wakiongozwa na viongozi wa kidini, wanataka kujiuzulu kwa Waziri wa Afya Aden Duale kutokana na matamshi wanayosema yamesababisha hisia za ubaguzi dhidi ya jamii ya Wakikuyu. Viongozi hao wametishia kuanza kususia chakula ndani ya saa 48 ikiwa matakwa yao hayatashughulikiwa.
VOX POP-WARN