Baadhi ya viongozi kutoka eneo la Pwani wanaonya kuwa kuongezeka kwa kutovumiliana kisiasa na matamshi ya chuki kunaweza kutishia mshikamano na amani ya kitaifa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Wakiongozwa na mgombea wa ubunge wa Nyali Nelson Alfayo waliishutumu NCIC kwa kukosa kuchukua hatua kali dhidi ya wanasiasa wanaosema wanawachochea Wakenya.


NELSON ALFAYO – NCIC