Serikali imetenga Sh bilioni 3.6 kujenga hosteli kwa wanafunzi 6,000 katika vyuo vikuu vya Kaunti ya Busia, KMTC, na TVET chini ya mpango wa nyumba za bei nafuu. Rais William Ruto ambaye alitoa tangazo hilo akiwa Amagoro pia alisema viwanja 32 vya michezo vinajengwa kote nchini, na kusisitiza hitaji la umoja wa kikanda ndani ya EAC.
WILLIAM RUTO – ALLOCATION