Tume ya NCIC imeelezea wasiwasi wake kuhusu kile inachokielezea kama kuongezeka kwa visa vya uhuni wa kisiasa na vurugu nchini. Katika taarifa, baraza hilo lililaani vitendo vya ujambazi wa kisiasa na kuwasihi viongozi na wafuasi wao kukumbatia ushiriki wa amani. NCCK iliwataka watendaji wote wa kisiasa kuzingatia utawala wa sheria na kukuza uvumilivu ili kulinda umoja wa kitaifa na michakato ya amani ya kidemokrasia.
VOX POP – TOLERANCE