Chama cha walimu nchini KNUT kinatishia kususia mitihani ya kitaifa ya mwaka huu kutokana na kuchelewa kwa malipo ya uangalizi na marupurupu ya usimamizi. Maafisa wa chama hicho wanasema kwamba licha ya serikali kutenga Sh bilioni 1.5 kulipa madeni hayo, walimu wengi bado hawajapokea malipo yao.
VOX POP – OFFICIALS