Waziri wa Afya Aden Duale ameitaka NCIC kumwita Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua kwa madai ya matamshi ya uchochezi. Duale aliishutumu tume hiyo kwa kutekeleza sheria kwa njia ya upendeleo kwa kuwalenga maafisa wa serikali huku ikiwapuuza viongozi wa upinzani. Alidai kwamba Gachagua ametoa matamshi ya kikabila ambayo yanahitaji kuchunguzwa.
ADEN DUALE – GACHAGUA