Rais William Ruto ameapa kwamba serikali itakomesha uhuni nchini Kenya, akisema Huduma ya Kitaifa ya Polisi iko tayari kuongoza msako unaolenga kurejesha sheria na utulivu kote nchini. Rais alisema Kenya imefikia ueledi wa pamoja kuhusu hitaji la kuondoa uhuni, ambao aliuhusisha na vurugu za kisiasa, vitisho na machafuko ya umma.

WILLIAM RUTO – GOONS