Seneta wa Murang’a Joe Nyutu ameilaumu Kampuni ya KPLC kuhusu tofauti zinazodaiwa katika ugawaji wa tokeni za umeme za kulipia kabla. Nyutu anasema kote nchini watumiaji wameibua wasiwasi kuhusu ukosefu wa uwazi kwani wale wanaonunua tokeni zenye thamani sawa mara nyingi hupokea idadi tofauti ya units licha ya kuishi katika eneo moja.
JOE NYUTU – KPLC