FIDA imekaribisha uamuzi wa Mahakama Kuu kumpata Gavana wa Zamani wa Migori Okoth Obado na wengine wawili na hatia ya mauaji ya Sharon Otieno. FIDA inasema hukumu hiyo inaashiria hatua kubwa baada ya karibu miaka minane ya kesi mahakamani na inaonyesha uimara wa familia ya Sharon katika kutafuta haki. Wakati huo huo, familia ya marehemu Sharon Otieno, inayowakilishwa na wakili Victor Hezekiah inasema uamuzi huo unaimarisha imani ya umma katika mfumo wa haki.

VICTOR HEZEKEIAH - RULING