Wataalamu wa afya kutoka nchi 11 za Mashariki na Kusini mwa Afrika wamehimiza bara hilo kuongeza uwekezaji katika utengenezaji wa dawa za ndani ili kupunguza utegemezi wa dawa na chanjo zinazoagizwa kutoka nje. Wakizungumza Mombasa, walisema Afrika inapaswa kulenga kuzalisha angalau asilimia 60 ya mahitaji yake ya dawa ndani ya bara, wakibaini kuwa bara hili hutumia takriban dola bilioni 28 kila mwaka kwa dawa zinazoagizwa kutoka nje.
VOX POP-PHARMACEUTICALS