Waziri wa Leba Alfred Mutua amewaonya wakandarasi kote nchini kwamba maeneo ya ujenzi yasiyo na vifaa vya msingi vya ustawi, ikiwa ni pamoja na vyoo, maeneo ya kupumzika na kliniki, yana hatari ya kufungwa. Waziri Mutua alisema serikali imeimarisha Idara ya Usalama na Huduma za Afya Mahali pa Kazi ili kutekeleza kufuatwa viwango vya usalama kazini katika miradi ya ujenzi ya umma na ya kibinafsi.
ALFRED MUTUA – INSPECTION