Upatikanaji wa huduma ya afya ya ubongo bado ni mdogo kutokana na uhaba wa wataalamu wa neva. Daktari wa upasuaji wa neva Benjamin Mutiso anasema ingawa nchi imeongeza idadi ya wataalamu katika kipindi cha miaka 15 iliyopita, uwekezaji zaidi unahitajika ili kuimarisha huduma za neva katika hospitali za rufaa za kaunti huku Siku ya Ubongo Duniani ikiadhimishwa chini ya kaulimbiu "Upatikanaji wa Afya ya Ubongo kwa Wote."
BENJAMIN MUTISO - CHALLENGE