Rais William Ruto amethibitisha kwamba watumishi wote wa umma watapokea nyongeza za mishahara yao kuanzia mwezi ujao. Akizungumza alipokuwa akiwakaribisha mafundi wa Kaunti ya Nairobi katika Ikulu, Rais Ruto alisisitiza hitaji la kutoa mazingira mazuri ya kazi kwa kila mtu, ikiwa ni pamoja na mafundi wa jua kali.

WILLIAM RUTO – INCREMENT