Waziri wa fedha John Mbadi ametoa msimamo mkali kuhusu mchakati wa ununuzi wa serikali, akitangaza kwamba vyombo vyote vya ununuzi lazima vipitie kikamilifu mfumo wa ununuzi wa serikali wa kielektroniki (e-GP). Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mchakato wa Maandalizi ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha wa 2027/28 na wa Muda wa Kati, Mbadi alitangaza kwamba misamaha imeisha rasmi, akielekeza idara zote kufunga sura hiyo huku serikali ikiendelea kuongeza uwazi na ufanisi.
JOHN MBADI - EXEMPTIONS
Read Also