Muungano wa walemavu nchini UDPK umeonhga mkono uteuzi mpya wa Isaac Mwaura kuongoza Ofisi ya Haki za Utofauti, Ujumuishi na Ulemavu. Mwenyekiti Eric Ngondi anasema ukaribu wa ofisi hiyo na Rais utasaidia kuendeleza haki za walemavu na kuboresha usaidizi kwa watu wenye ulemavu.


ERIC NGONDI – DISABILITY